Waziri mwandamizi katika serikali ya awamu ya nne mhe Steven Wassira
amemshangaa January Makamba kwa kauli yake kuwa serikali ya awamu ya nne
ilikuwa ya kubebana akisema yeye binafsi hakuwahi kubebwa ila anadhani
kwamba kama ilikuwa kubebana basi aliebebwa ni yeye January kwani hata
kuingia tano bora ya urais hakukua na cha maana alichonacho zaidi ya
kubebwa.
Mzee Wassira amelazimika kusema hayo kutokana na kauli ya Makamba aliyoitoa hivi karibuni kua serikali ya awamu ya nne ilikuwa ya kubebana na kuoneana haya na ndio maana nidhamu ya utumishi wa umma ilishuka kwani ilikosa usimamizi.

0 comments:
Chapisha Maoni