Jumanne, Machi 22, 2016

UWANJA WA NDEGE WA ZAVENTEM, BRUSSELS, UBELGIJI WASHAMBULIWA NA MABOMU

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya milipuko miwili kutokea katika uwanja wa ndege wa Zaventem mjini Brussels, Ubelgiji, vinaripoti vyombo vya habari nchini humo. 
Serikali inasema pia watu kadhaa wamejeruhiwa lakini haijataja idadi, na moshi unatanda angani kutoka kwa moja ya majengo.

0 comments:

Chapisha Maoni