Taarifa kutoka jijini Dar es Salaam kulikofanyika uchaguzi wa meya wa halmashauri ya jiji hilo leo baada amri ya mahakama zinaeleza kuwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimefanikiwa kupanda ushindi wa uchaguzi huo.
Baada ya kura zote kuhesabiwa ndugu Isaya Mwita wa CHADEMA ameshinda umeya wa jiji la DSM kwa kura 84 dhidi ya kura 67 za Yenga Omary wa CCM ambapo jumla ya Kura 7 zimeharibika
0 comments:
Chapisha Maoni