Uwanja wa ndege wa George nchini Afrika Kusini umekuwa wa kwanza barani Afrika kutumia nishati ya miale ya jua (Solar Power)
Waziri wa mazingira nchini humo Edna Molewa amesema awamu ya kwanza ya mradi wa kawi hiyo wa dola milioni moja umezinduliwa na utatoa asilimia 40 ya mahitaji ya nishati.
Utakapokamilika mradi huo utazalisha kilowati 750 za kawi.
0 comments:
Chapisha Maoni