Jumamosi, Machi 19, 2016

KUTANA NA ROBOTI LINALOTOA HUDUMA ZA CHAKULA MGAHAWANI HUKO CHINA

Roboti linaonekana likitoa huduma katika mgahawa huko Shenyang, mji mkuu wa mkoa wa Liaoning kaskazini mashariki mwa China, March 15, 2016.
Roboti yenye urefu wa sentimita 140 inatumia betri na inaweza kufanya kazi kwa muda masaa 8 ikitumia teknolojia maarufu kabisaa inaweza kubeba hadi kilo 7 ya chakula au vinyuaji kwa wakati mmoja.

0 comments:

Chapisha Maoni