Jumanne, Machi 22, 2016

DIWANI PEKEE WA CCM ARUMERU MASHARIKI AFARIKI DUNIA

Taarifa tuliyoipata kutoka mkoani Arusha ni kuwa Diwani pekee wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Naftali Mbise amefariki leo alfajiri baada ya kuanguka toka kwenye mti.
Pamoja na taarifa hiyo kupatikana bado haijafahamika kuwa ni nini haswa kilisababisha kifo cha Diwani huyo wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya  Ngarenanyuki  baada ya kudondoka.

0 comments:

Chapisha Maoni