Abiria wote 62 kwenye ndege ya abiria ya shirika la Fly Dubai wamefariki baada ya ndege hiyo kuanguka.
Ndege hiyo ilianguka wakati ikijaribu kutua mjini Rostov-on-Don nchini Russia ikitokea Dubai.
Maafisa wa serikali mjini humo wanasema ndege hiyo ilizunguka mara kadhaa ikijaribu kutua lakini hatimaye ikaanguka, na inahofiwa ajali hiyo imetokana na ukungu ambao ulimzuia rubani kuona vizuri.
wakati ikianguka ndege hiyo kulikuwa na mvua na upepo kwenye eneo hilo.

0 comments:
Chapisha Maoni