Jumatatu, Machi 21, 2016

AJALI KATIKA MSAFARA WA KAMATI YA BUNGE ILIVYOUA 5 NA KUJERUHI 9 BAGAMOYO

Msafara wa Wabunge wa Mkoa wa Pwani na RAS na Kamati ya TAMISEMI umepata ajali Bagamoyo - Kerege
Magari mawili yamegongwa na Lori, Gari na Mkurugenzi wa Bagamoyo na Gari la TASAF Bagamoyo.
Madereva wote wawili wa hizo gari wamefariki hapo hapo na Afisa Mipango naye amefariki.
Majeruhi wamekimbizwa Muhimbili hali mbaya.

0 comments:

Chapisha Maoni