Alhamisi, Februari 11, 2016

WEMA GANI UNAWEZA KUMFANYIA MNYAMA UNAYEMFUGA NYUMBANI KWAKO?

Paka huyu kwa jina Bagel alizaliwa na tatizo la macho na hivyo hawezi kutoa machozi.
Hivyo amevalishwa miwani maalum ya kumsaidia, lakini pia amekuwa kivutio cha watu wengi wanaomuona kama “kijana mzuri”
Mmiliki wake Karen McGill anayeishi Los Angeles, Marekani anasema paka wake amefanyiwa upasuaji mara nne lakini bado anahitaji miwani hii ili kumkinga na mwanga.

0 comments:

Chapisha Maoni