Alhamisi, Februari 11, 2016

WAJAWAZITO WENYE ZIKA KUTOHARIBIWA MIMBA ZAO

Serikali ya Brazil haitaruhusu wanawake waja wazito wenye virusi vya Zika kutoa mimba, Marcelo Castro, waziri wa afya nchini humo ameripotiwa na vyombo vya habari akisema.
Wanaharakati wa sayansi na mawakili wamekuwa wakitoa msukumo kwa serikali kuruhusu utoaji mimba na wanawake waja wazito walio na virusi vya Zika ambavyo vinasemekana kusababisha watoto kuzaliwa na kichwa ndogo na ubongo kudumaa.

0 comments:

Chapisha Maoni