Jumanne, Februari 02, 2016

UELEKEO WA UONGOZI KAMBI RASMI YA UPINZANI

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametoa mwelekeo wa upangaji wa uongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni na baraza kivuli la mawaziri, huku akionyesha kambi hiyo kuwa tayari kushirikiana na Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe.
Akizungumza jana mjini hapa Mbowe alisema idadi ya wizara hizo itafanana na ya wizara za Serikali ya Awamu ya Tano ambazo zipo 19.

0 comments:

Chapisha Maoni