Jumanne, Februari 02, 2016

BAADA YA UKAWA, SASA KUNA UMOJA HUU MPYA BUNGENI

Wabunge wanaotoka maeneo ya Reli wameunda Umoja wa Wabunge wa Reli ( Parliamentary Railways Caucus). Ezekiel Maige ndiye Mwenyekiti na Zitto Kabwe ndiye Katibu. Lengo ni kuhakikisha kuwa Reli inajengwa na kuunganisha Burundi ( Musongati) na Tanzania kwa kupitia Uvinza na mfumo mzima wa Reli kutoka Dar - Kigoma/Mwanza na matawi ya Manyoni - Singida, Kaliua - Mpanda - Karema, Isaka - Keza ( Ngara) , Pugu - Tanga/Moshi

0 comments:

Chapisha Maoni