Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid, Jackson Martinez ametia saini mkataba wa miaka minne na klabu bingwa ya ligi nchini China, Guangzhou Evergrande, kwa ada ya milioni €42 ambayo ni ghali zaidi katika msimu huu wa baridi na kubwa zaidi kuwahi sainiwa na vilabu vya soka katika mataifa ya Asia.
0 comments:
Chapisha Maoni