Jumatatu, Februari 15, 2016

MAGARI 50 YAGONGANA KWA WAKATI MMOJA NA KUSABABISHA VIFO

Zaidi ya magari 50 yaliohusika kwenye ajali huko ‪Pennsylvania‬, Marekani .
Watu watatu wamekufa na wengine wengi kujeruhiwa kwenye ajali hiyo ambayo mamlaka zinasema huenda ilisababishwa na mtiririko wa theluji.

0 comments:

Chapisha Maoni