Jumatano, Februari 24, 2016

CHUO CHA ST. JOSEPH ARUSHA CHAFUNGIWA

Baada ya kufungwa kwa chuo kikuu cha St. Joseph tawi la Songea, wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph Arusha wamekuwa katika hali ya wasiwasi wakiogopa kama ya waliowakuta wenzao wa Songea na kuleta hali ya sintofahamu chuoni hapo.
St.Joseph Tawi la Arusha kimefungwa chuo hicho rasmi hadi hapo NOTICE itakapotolewa.
Wanafunzi wametakiwa kurudi Nyumbani kwao, hadi hapo taarifa itakapotolewa.

0 comments:

Chapisha Maoni