Shule moja huru maarufu kama Brighton College, iliyoko kusini mwa Uingereza imevunja kanuni zake za miaka 170 kwa kuwaruhusu wanafunzi wa jinsia mbili kujichagulia sare za shule aidha za wavulana au wasichana.
Tayari Mwanafunzi mmoja wa jinsia mbili amejitokeleza na kuchagua sare yake. Baadhi ya wazazi wanaendelea kufanya maulizo ya sare kwa ajjili ya watoto wao walio na jinsia mbili.
0 comments:
Chapisha Maoni