Si kwamba muziki wa Tanzania pekee ndio unakuwa, ninachokiamini ni kuwa hata lugha ya kiswahili nayo inazidi kuota mbawa na kutua katika mataifa mengine Afrika ambapo sasa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade amefanya rudio la wimbo wake Gode, kutoka katika lugha ya kiingereza ambapo pia ulikuwa na vionjo vya kinigeria na kuufanya kwa kiswahili, umekuja na ladha mpya tamu sana, video yake iko hapa chini...Enjoy!!!
0 comments:
Chapisha Maoni