Mwanamuziki R Kelly amefanya tukio ambalo pengine naweza sema hakijawahi kufanyika katika tasnia ya Muziki duniani. Tumeshuhudia watu wengi mashuhuri duniani wakiacha historia za maisha yao katika vitabu na makablasha mbalimbali lakini hii ya R Kelly imekuwa mpya, yeye ameamua kutoa na kuhifadhi historia ya maisha yake kwa kutumia kipaji chake kwa kuimba maisha yake kwa dakika 45, TAZAMA HAPA CHINI |
|
|
|
|
| | | |
0 comments:
Chapisha Maoni