Waziri mkuu Mh.Kassim Majaliwa amesema serikali haijaridhika na viwango vipya vya nauli ya mabasi yaendayo kasi vilivyopendekezwa na waendeshaji wa huduma hiyo jijini Dar es Salaam na kuwaagiza waziri wa nchi ofisi ya rais Tamisemi na waziri wa ujenzi, uchukuzi, na mawasiliano pamoja na wadau wakutane kupanga upya viwango hivyo na kama watashindwa serikali itaendesha mradi huo.




0 comments:
Chapisha Maoni