Jumatano, Januari 06, 2016

BOMOABOMOA YAMLAZA WASTARA KITANDANI

Bomoa‬ bomoa inayoendelea jijini Dar es Salaam imemgusa staa wa filamu nchini Wastara Juma Issa ambaye kupitia mtandao wa kijamii wa facebook amesema: 
" Mashabiki wangu mwaka umeanza vibaya kwangu,nyumba zangu 2 zimewekwa x,na zitabomolewa siku yoyote kuanzia leo,siko sawa kabisa niombeeni dua presha imepanda,nawape

0 comments:

Chapisha Maoni