Ijumaa, Januari 15, 2016

RAIS MAGUFULI AFUTA HATI ZA MASHAMBA MAKUBWA MATANO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. John Pombe Magufuli amefuta hati za mashamba matano makubwa yaliyokuwa na hati za miaka 99 chini ya umiliki wa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi ambayo yamebainika kuwa hayaendelezwi na kusababisha baadhi ya wananchi kuathirika kwa kukosa maeneo ya kilimo katika maeneo hayo.

0 comments:

Chapisha Maoni