Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema serikali imetenga bajeti ya shilingi milioni 103 kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza.
Aidha akiwa katika ziara ya Mwanza Profesa MBARAWA ametaka vivuko vya ukanda wa Ziwa kutuma mfumo wa kieletroniki katika ukusanjaji wa mapato ya vivuko hivyo.
0 comments:
Chapisha Maoni