- Dar Es Salaam-Bandar u salam-Bandari Salama
- Kariakoo -Carier crop-wabebaji wa mizigo sokoni kariakoo waswahili wakashindwa na kuamua kuunga
- Msasani-Musa Hassan-Mnyapara aliyekuwa akisimamia mashamba ya katani ambaye asili yake ni Ntwala hivyo wamakonde wengi wakaamua kuja kumuomba kazi na kwa kwa kuwa walikuwa hawajui anapoishi waliuliza kwa Mucha Hachani....Msasani imeungwa
- Mikocheni-Michael Chain Mmiliki wa mashamba ya katani yalliyokuwa yanaanzai palipo na Daraja la John Selander (Salenda Bridge)
- Kawe-actaully ni Cow Way, barabara maarfuru kwa kusagwa ng'ombe kufikishwa hapo Tangaynyika Packers kwa machinjo hence Cow-way (kawe imeungwa)
- Kigogo (ni kigogo kabisa cha kuvuka pale kigogo mwisho kila jumaosi walikuwa wanakusnayika kukiweka.."jamani leo siku ya kigogo"...(leo pamejengwa daraja)
- Tabata...Muarabu aliyekuwa ananunua korosho kwa mali kauli na kuwaahdi wachuuzi waje siku fulani watalipwa kwa kuwaambi "hapana tabu tabata (utapata pesa yako) akabatizwa jina la Mwarabau Tabata....
- Ilala..linatokana na makaburi ya pale Karume ambako hakukua na mengine hivyo kila alasiri watu walikuwa wakienda kuzika na wimbo wa Haila Illallah!!! (ILALA)
- UBUNGO, bungoni, MIKOROSHINI NA MABIBO NI MITI MINGI YA MATUNDA HAYO KUPATIKANA MAENEO HAYO
- Kunduchi....mtu aliyeonekana kutembea uchi maeneo hayo
0 comments:
Chapisha Maoni