Ijumaa, Januari 22, 2016

KUHUSU SAYARI YA KUMI KUBWA KULIKO DUNIA

Sayari ya kumi ambayo ni kubwa kushinda dunia inaweza kuwa mafichoni na mbali zaidi na ile ya pluto , hii ni kulingana na ripoti iliyotolewa na jarida la Astronomical Journal siku ya Jumatano.
Profesa wanaohusiana na masuala ya sayari wa California Institute of Technology Mike Brown na Konstantin Batygin walipatia sayari hiyo jina la "Planet Nine"
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na CIT siku ya Jumatano, "Planet Nine" "ina ukubwa wa mara 10 zaidi ya sayari ya dunia na umbali wa kilomita 20 kutoka kwa Jua kuliko Neptune."

0 comments:

Chapisha Maoni