Jumapili, Januari 24, 2016

KITABU CHA KWANZA KABISA DUNIANI KILICHAPISHWA SIKU KAMA YA LEO, ILIKUWA NI MWAKA GANI?

Katika siku kama ya leo miaka 560 iliyopita, iliyopita kazi ya uchapishaji vitabu ilianza na kitabu cha kwanza kabisa kikachapishwa kwa kutumia mashine iliyogunduliwa na Mjerumani, Johannes Gutenberg. Mashine hiyo ya uchapishaji ilikuwa hatua muhimu katika njia ya uchapishaji na uenezaji wa elimu na maarifa kati ya wanadamu. Katika zama zake, Johannes Gutenberg pia alichapisha kitabu cha Biblia maarufu kwa jina la' Gutenberg Bible.' Hii leo kurasa kadhaa zilizobakia za kitabu hicho zinahifadhiwa katika jumba la makumbusho.

0 comments:

Chapisha Maoni