Alhamisi, Januari 07, 2016

KAIJAGE ASITISHA UKOCHA TWIGA STARS


Kocha mkuu wa timu za taifa za mpira wa miguu za wanawake ‘Twiga Stars’ na ile ya ‘Tanzanite’ Rogasian Kaijage amejiuzulu kuifundisha timu hizo kwa madai kwamba mazingira hayampi mwanya wa kuzisaidia timu hizo hivyo ameamua kukaa pembeni.

0 comments:

Chapisha Maoni