Ijumaa, Januari 15, 2016

VIDEO HII NI KUTOKA KENYA, MAITI HUZUNGUSWA SIKU 2 MJINI KUAGA MJI


Duniani kumejaa dini na madhehebu yaliyo na imani na desturi mbali mbali ambazo waanzilishi na wafuasi huzifuata ili kuzitosheleza imani zao.Hii taarifa imenukuliwa na mtandao huu, FICHUO, toka nchini Kenya kwa mwanahabari Lofty Matambo aliyetoa tarifa ya mazishi ya ajabu ya dhehebu la Jerusalem church lake Mary Akutsa ambapo wanaamini marehemu lazima azungushwe mjini siku mbili katika urefu usiopungua kilo mita ishirini ili auage mji ndipo aende peponi kwa amani.

KTN

0 comments:

Chapisha Maoni