Ijumaa, Januari 15, 2016

GREENLAND SI MWANACHAMA WA FIFA, SABABU NINI?

Wacha leo FICHUO ikupatie habari ambayo hukuifahamu, hadi mwaka 1979 Greenland ilikuwa koloni la Denmark hivyo haikuwa nchi inayojitegemea.
Kuanzia mwaka 1979, Greenland imekuwa ikijaribu kutambulika kimataifa kama nchi huru. Njia kuu wanayotumia kujitambulisha ni kupitia mmichezo. Hadi sasa Greenland ni mwanachama wa vyama kadhaa vya michezo kama vile chama cha mpira wa wavu, tae kwon do, mpira wa mikono,tennis, mpira wa meza nk.
Kwa bahati mbaya haiwezekani kwa Greenland kuwa mwanachama wa chama cha mpira wa miguu duniani kwa kuwa tu nyasi hazistawi na hali ya hewa ni baridi kali sana.

0 comments:

Chapisha Maoni