Ijumaa, Januari 15, 2016

KUHUSU MATOKEO YA KIDATO CHA PILI YALIYOTOLEWA NA BARAZA LA ELIMU

Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana(2015) yameonesha kuwa wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.
Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya na Iringa yaongoza kitaifa kwa kutoa Shule 10 bora wakati mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara haikufanikiwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha pili yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani (NECTA).
Toa maoni yako nini kifanyike katika kuboresha miundombinu ya elimu ili kuongeza idadi ya ufaulu hapa nchini!

0 comments:

Chapisha Maoni