Jumapili, Januari 24, 2016

DEAL DONE!!! RODRIO BETANCUR KUELEKEA REAL MADRID

Klabu ya Boca Juniors wameamua kumwuuza mchezaji wao hodari Rodrigo Betancur kwa Klabu ya Real Madrid.
Klabu ya Real Madrid inaendelea pia kufanya mazungumzo na mchezaji wa Ujerumani Leroy Sane na Ricardo Rodriguez wa Uswisi

0 comments:

Chapisha Maoni