Alhamisi, Januari 21, 2016

A.S ROMA YAVUNJA MKATABA NA ASHLEY COLE

Klabu ya A.S Roma imetangaza kuwa kandarasi kati yake na beki wa Uingereza Ashley Cole imefutiliwa mbali kufuatia maridhiano kati ya pande hizo mbili.
"Ashley, mwenye umri wa miaka 35, alijiunga na Roma Julai 2014 baada ya kuchezea Arsenal, Chelsea na Crytal Palace, " Roma walisema kwenye taarifa yao huku wakimshukuru mchezaji huyo kwa mchango wake na kumtakia kila la heri.Kwa sasa mchezaji huyo hana klabu anayochezea.

0 comments:

Chapisha Maoni