Ijumaa, Januari 29, 2016

ALEX MFUNGO: NJIA MBADALA YA KUDHIBITI RUSHWA NI KUMFILI MHUSIKA

Mkurugenzi wa Upelelezi kutoka TAKUKURU, Bw. Alex Mfungo, yeye amesema, taasisi yake imeona hakuna maana yoyote kwa muhalifu wa Ufisadi na uhujumu uchumi, ukamfunga gerezani na kisha kumuachia baada ya kifungo halafu aendelee kutumia mali alizochuma kwa njia za haramu. “Tumeona njia mbadala ya kudhibiti hali hiyo na kwa mujibu wa sheria ni kumfilisi muhusika hata kama atatumikia kifungo.”

0 comments:

Chapisha Maoni