Jumamosi, Januari 16, 2016

AJALI YA BASI YAUA 3 NA KUJERUHI 35 GAIRO

Taarifa ambayo tumeipata na bado tungali tunafuatilia kwa kina ni kuhusu ajali ya basi la abiria la Kiruto  likitokea Kondoa kwenda jijini Dar es Salaamambalo limepata ajali katika maeneo ya Gairo leo hii na kusababisha vifo vya watu 3 huku 35 wakijeruhiwa vibaya. Taarifa ambayo bado tunaitafuta ni uthibitisho kutoka kwa maafisa wa polisi na kisha tutakufahamisha kilichojiri huko.

0 comments:

Chapisha Maoni