Kwa wale wapenzi wa muziki wa Afrika Mashariki mtakuwa mnamjua sana
msanii huyu. Polisi wa Kenya wametangaza kumtia mbaroni msanii huyu
maarufu kama Redsan kwa tuhuma za kuhusika katika ugaidi nchini humo.
Taarifa zaidi hazijaelezwa ingawa mashabiki wake na watu wa karibu wamelalamikia kukamatwa huko kwa madai kuwa Redsan ni mzalendo safi na hajawahi kuwa karibu na kundi lolote la kigaidi.

0 comments:
Chapisha Maoni