MTU MMOJA MKAZI WA CHEMCHEM – IGAWILO NJE KIDOGO YA JIJI LA MBEYA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA JANUARY MWINUKA (27) MFANYABIASHARA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA BAADA YA KUKAMATWA AKIWA NA KETE 32 ZA BHANHI SAWA NA UZITO WA GRAMU 160 ZIKIWA NDANI YA KIBANDA CHAKE CHA BIASHARA.
MTUHUMIWA ALIKAMATWA MNAMO TAREHE 30.09.2014 MAJIRA YA SAA 10:00 ASUBUHI HUKO KATIKA STENDI YA USANGU, KATA YA NSALALA, TARAFA YA IYUNGA, MKOA WA MBEYA. MTUHUMIWA ALIKUTWA NA KETE HIZO BAADA YA KUKAMATWA NA KISHA KUPEKULIWA KWENYE KIBANDA CHAKE AMBACHO HUWA ANAKITTUMIA KUUZA BIDHAA NDOGO NDOGO. MTUHUMIWA NI MUUZAJI NA MVUTAJI WA BHANGI HIYO. TARATIBU ZA KUMFIKISHA MAHAKAMANI ZINAENDELEA.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHINA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA/POMBE HARAMU YA MOSHI [GONGO] NA KUJIHUSISHA NA UINGIZAJI NA UUZAJI WA POMBE KALI [VIROBA] ZILIZOPIGWA MARUFUKU NCHINI KWANI NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI NA NI KINYUME CHA SHERIA ZA NCHINI.

0 comments:
Chapisha Maoni