Jumanne, Septemba 02, 2014

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Kaguta Museveni katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi katika mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tishio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla

0 comments:

Chapisha Maoni