Jumatano, Septemba 17, 2014

AZAM FC BAADA YA KUFUNGWA NA YANGA...

Baada ya kufungwa kusikotarajiwa na Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya hisani jumapili iliyopita, kikosi cha Azam FC kimerejea kambini jana kwajili ya matayarisho ya mchezo wa ufunguzi wa Vodacom Premier League. 
Wachezaji kupitia kwa Nahodha msaidizi Himid Mao Mkami "Ninja 23" wamewaomba radhi wapenzi na washabiki kwa kufungwa na Yanga na kuahidi kurudi kwa kishindo katika ligi na pia kulipa kisasi watakapokutana na Yanga kwenye ligi.

0 comments:

Chapisha Maoni