Kuna mpango unafanywa na Serikali ili kuiunganisha mbuga ya wanyama ya Serengeti na Ziwa Victoria.
Itapelekea wanyama wa Serengeti ambao walikuwa wakitegemea maji ya mto
Mara waende kunywa maji ya ziwa Victoria sehemu ya wilaya ya Bunda
(Ghuba Speke) na kuondoa utegemezi wa mto mara unaotenganisha Serengeti
na Masai Mara ya Kenya.
0 comments:
Chapisha Maoni