Niliwahi kusikia jamaa mmoja akisema kuna baadhi ya wanawake
hupendeza zaidi wanapojifungua. Kim Kardashian anaweza kuwa sehemu ya
ushahidi wa alichokisema huyu jamaa.
Mama North West amewatoa polisi wa New York katika umakini wa kulinda
na kuanza kumtupia jicho kwa wizi wizi huku kamera za paparazzi
zikilinasa tukio hilo.





0 comments:
Chapisha Maoni