Kasisi mmoja Muhispania aliyeambukizwa virusi vya
Ebola, akiwa anafanya kazi Magharibi mwa Afrika , amefariki kutokana na
homa hiyo hospitalini mjini Madrid.
Zaidi ya watu 1,000 wamefariki kutokana na homa
hiyo nchini Liberia, Guinea, Sierra Leone na Nigeria tangu kulipuka kwa
homa hiyo mwezi Februari.
Miguel Pajares, mwenye umri wa miaka 75,
alirejeshwa nchini Uhispania kutoka Liberia wiki jana na mtawa mmoja
ambaye naye aliponea kuambukizwa homa hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni