Ijumaa, Agosti 15, 2014

DIAMOND ASHINDA TUZO BURUNDI

CV ya Diamond katika muziki inazidi kupanda na mwaka huu unaweza kutajwa kuwa mwaka wa tuzo kwa mwimbaji huyo ambaye amevuka mipaka na kuzinyakua au hata kutajwa tu kuziwania.
Wimbo wa My Number One wa Diamond umeshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Afrika Mashariki katika tuzo za Burundi zinazojukana kama TTM Awards.
Asante sana kwa Media wadau na Mashabiki zangu pendwa kwa kuifanya Number One kuwa Nyimbo Bora ya East Africa ya Mwaka kwenye tunzo za #TTTMAwards nchini Burundi.....
Ameandika Diamond kwenye Instagram akiambatanisha na picha ya mtu aliyempokelea tuzo hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni