Baada ya kipindi kirefu cha mapenzi ya kuwaka na kuzima, sasa Chris Brown anahitaji kuwa baba mtoto wa Karrueche Tran.
Mkali huyo wa R&B ameandika mpango wake huo katika Instagram
ikiwa ni siku moja baada ya Karrueche kutoa tamko rasmi kuhusu kurudiana
kwao na kueleza kuwa katika mapenzi yao kuna vitu vya ndani ambavyo
havijulikani na havipaswi kujulikana kwa watu ambavyo vinawafanya
waendelee kuwa pamoja.
"@karrueche damn near 5 years and this woman still putting up with my
s---. Need to have this baby and stop playing! Lol! My WCW" Ameandika
Chris Brown na kupost Karrueche.




0 comments:
Chapisha Maoni