Arturo Vidal amesisitiza kuwa haendi Manchester United msimu huu.
Mchezaji huyo kutoka Chile amekuwa akihusishwa na kuhamia Old Trafford kutoka Juventus, Man United wakiwa tayari kuvunja rekodi yao ya uhamisho.
Hata hivyo, Vidal amedai kuwa atazungumza na boss mpya wa Juventus, Massimiliano Allegri siku ya Jumatatu, na kusema hatokuwa akijiunga na kikosi cha Louis van Gaal.

Mustakbali wangu? Jumatatu nitazungumza na kocha
amekaririwa akisema na Tuttosport.
http://www.football-italia.net
Najisikia vizuri. Siendi Manchester.Taarifa kamili imeandikwa kwenye tovuti ya Football Italia
http://www.football-italia.net
0 comments:
Chapisha Maoni