MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka ameweka wazi kwamba kinachomfanya aishi vizuri na wenzake ni kutoendekeza makundi.
Rose amesema anampenda na atampenda
mtu yeyote atakayekuwa tayari kuwa na urafiki naye kwa sababu hiyo ndiyo
staili yake ambayo inamfanya hata wanaomchukia katika makundi hayo
wampende.
Nampenda kila mtu na nipo tayari kuwa na urafiki na mtu yeyote atakayekuwa tayari kuwa karibu na mimi, makundi hayana maana kabisa zaidi ya majungu tu
alisema Rose.
0 comments:
Chapisha Maoni