Jumatatu, Julai 28, 2014

MWANAMUZIKI MAHEEDA ATAKA UKAHABA UHALALISHWE NIGERIA

Maheeda, mwanamuziki toka Nigeria ambaye amekuwa akizua utata mara kwa mara ambaye pia kabla ya kuolewa na mwanaume wa kigeni alikuwa kahaba ameanzisha kampeni mpya nchini humo akitaka ukahaba unatakiwa kuhalalishwa na kuwa kitu cha kuheshimika nchini Nigeria.
Kwa maneno yake mwenyewe, Maheeda amesema hivi kama Fichuo inavyomnukuu...
Ndio, nadhani ni muda mwafaka kwa ukahaba kuhalalishwa. I have been there, I have been with these girls have been to Holland where I think it’s legal. It won’t be bad if it is legalized because it’s everywhere anyway. So it’s better if it’s legalized.

0 comments:

Chapisha Maoni