Jumanne, Julai 22, 2014

MTOTO WA CHRISTIANO RONALDO HAMJUI MAMA YAKE MZAZI, KISA KIKO HAPA KWA UFUPI

Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo JR hamjui mama yake mzazi mpaka leo hii. Mara kadhaa mtoto huyo amekuwa akiambiwa mama yake yupo mbinguni na wakati mwingine humwambia mama yake kasafiri. Ronaldo amezaa na mwanamke mmoja asiyefahamika na alimlipa mwanamke huyo fedha nyingi ili kuficha utambulisho wake - CR7 kwa sasa yupo kwenye mahusiano na mrembo Irina Shayk ambaye kwa kushirikiana na mama wa Ronaldo ndio wanamlea mtoto huyo.

0 comments:

Chapisha Maoni