Jumamosi, Julai 05, 2014

KENYA YAOMBA CHAKULA TANZANIA

Kenya imeomba msaada wa chakula kutoka Tanzania kiasi cha tani laki mbili (200,000t).Tanzania imekubali na makubaliano yameishasainiwa jana nchini Kenya baina ya waziri wa kilimo chini ya balozi wa Tanzania.
Wafanyabisashara wa kitanzania watasafirisha na kuuza mahindi nchini Kenya kutoka maghala ya taifa Arusha na DSM.Gunia moja kilo 90 litauzwa shilingi 2650 (2650X19tsh) za Kenya na kusafirisha ni sh.300 za Kenya.
Tanzania imeagiza Kenya zoezi kuanza mara moja, Kilimo kwanza oyee.

0 comments:

Chapisha Maoni