Katika hali ya kushangaza, waigizaji wakongwe, Fatuma Makongoro ‘Bi.
Mwenda’ na Jengua walioneshana malovee msibani kwa kuitana mume na mke.Ishu
hiyo ilitokea juzi, Jumatatu kwenye msiba wa nguli wa vichekesho
nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ ambapo paparazi wetu aliwashuhudia
wawili hao wakiitana bebi huku wakifuatana kila sehemu.Paparazi wetu
alipomuuliza Jengua kuhusiana na ukaribu huo msibani, alisema haoni
tatizo kuwa mpenzi wa Bi. Mwenda lakini mama huyo alikataa na kusema
labda katika filamu tu.
0 comments:
Chapisha Maoni