Jumapili, Juni 08, 2014

UVCCM ARUSHA WAMWAPISHA KAMANDA WAO

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha wamuapisha kamanda wao wa Vijana.
Tukio hilo limehudhuriwa na Viongozi wa juu wa jumuiya hiyo akiwemo Makamu Mwenyekiti Ndugu Mboni Mhita na wajumbe wa kamati ya utekelezaji (KUT).

0 comments:

Chapisha Maoni