Rais Jakaya Kikwete tayari amewasili mjini Malamo nchini Eqetorial
Guinea kushiriki mkutano wa nchi za umoja wa afrika akiwa ameambatana na
mawaziri kadhaa akiwemo waziri wa chakula kilimo na ushirika Mhandisi
Christopher Chiza, waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais mazingira Mh
Umm Mwalimu ambapo pamoja na mambo mengine mkutano huo utajadili hali ya
usalama barani afrika,upatikanaji wa uhakika wa chakula kwa nchi za
afrika pamoja na hali ya kuimarisha ustawi wa mazingira barani afrika
kutokana na mabadiliko ya tabia nchini duniani.
0 comments:
Chapisha Maoni